polisi uingereza walilaumu gazeti kufuatia picha manchester

baada ya gazeti moja nchini marekani kuchapisha picha za baadhi ya matukio ya manchester polisi ya laani

picha hizo ambazo zinaonesha baadhi ya vilipuzi polisi inasema zinachangia kutia taabu shughuli za uchunguzi wa tukio hilo pia linaondoa imani pia

gazeti hilo limesema hawa kufikilia hivyo ila walijaribu kuonesha kuwa vilipuzi vilivyo tumika vilikuwa vilipuzi vya kisasa na siyo kama walivyo toa taarifa polisi

Post a Comment

Previous Post Next Post