ajari yaua 19 nakuru kenya

msemaji wa polisi amesibitishs kutokea kwa ajari katika mji wa nakuru nchini kenya ambapo watu.19 wamepoteza maisha

ajari hiyo imetokea katika barabara ya kuelekea nairobi ambapo.basi la abiria limegongana na roli uso kwa uso


Post a Comment

Previous Post Next Post