raisi avunja bodi ya ukaguzi wa madini

baada ya kuwasilisha ripoti ya tume ya uchunguzi wa madini leo.mjini dar es salaam mh raisi ameivunja kamati hiyo

mh rais amesema kazi waliyo tumwa wameimaliza hivyo basi anaivunja rasmi tume hiyi ili wakaendelee na kazi zingine

Post a Comment

Previous Post Next Post