raisi atoa sababu ya kumfuta kazi.pr ntalikwa

rais ametoa sababu iliyo pelekea kumfuta kazi aliyekuwa katibu mkuu nishati na madini.pr ntalikwa

raisi amesema alimfukuza kazi kwakuwa akidanganya kiasi cha madini kilichopo wakati akitoa taarifa yake bungeni mjini dodoma

kufutwa kazi kwake kulikuja punde tuu baada ya raisi kufanya ziara ya kushtukiza bandarini na kugundua makontena mengi yenye mchanga wa madini

Post a Comment

Previous Post Next Post