timu ya.arsenal siku ya jumamosi inaingia dimbani kucheza na chelsea katika fainali ya kombe la FA huku ikiwa na majerui wengi
kocha wa arsenal alipo ongea na wanahabari alisema kuna baadhi ya wachezaji ni wagonjwa hawatakuwa na uhakika wa kucheza katika mechi hiyo
akiwataja.wachezaji hao kocha huyo alisema gabriel hato cheza kabisa kwakuwa ameumia huku laurent koscilny hana uhakika kama atacheza au hatocheza
arsenal inaingia dimbani wembley kumenyana na chelsea katika fainali ya kombe la FA dhidi ya chelsea ambao ni mabingwa wa ligi kuu nchini uingereza

Tags
Michezo