polisi wapambana na majambazi kariakoo

habari zilizo tufikia ni kwamb polisi ya pambana na majambazi ambao walikuwa wakitaka kufanya uporaji kariakoo

kwa mujibu wa mashuhuda.baadhi ya majambazi wazaniwa kuuwawa

taarifa zaidi tutazipata


Post a Comment

Previous Post Next Post