polisi wamkamata mtu wa kumi uingereza

polisi nchini uingereza ya mkamata mtu wa kumi.akihusishwa na shambulizi

mjini hapa polisi bado ipo kwenye msako mkali kuwakamata woote walio husika katika shambulio la bomu majuzi

alieshikwa ana mahusiano na aliye fanya ulipuaji huku watu wawili wakiwa wameachiwa huru

polisi ipo kwenye ulinzi mkali kwakuwa inasemekana linaweza fanyika shambulio jingine

Post a Comment

Previous Post Next Post