apata mume baada ya kukosea namba ya simu

mwanamke mmoja nchini india ambae alijeruhiwa vibaya baada ya kumwagiwa tindikali apata mume

mwanamke huyo alisema hakutarajia kma atapata mume baada ya kuharibika usoni na kufanyiwa upasuaji mara 17

anasema alikosea namba ya simu ndipo akampata huyo mume ambae amemuoa

alisema kwake ni kma miujiza lakini amepata bwana ingawa alikaa muda mrefuu bila kutongozwa kwakuwa alionekana ni mbaya

Post a Comment

Previous Post Next Post