mbasha asema hana.hamu na ndoa

kufuatia kuachana na aliye kuwa mkewake frolah muimbaji wa nyimbo za injili emanuel.mbasha amesema hataman ndoa kwa sasa

mbasha ambae alikutana na mitihani kadhaa katika ndoa yake alisema hataman kuoa kwa sasa maana hakuna anae mwamini katika mahusiano

frola kwa sasa amefunga ndoa na mwanaume mwingine baada ya kuachana na emanuel

mbasha alisema saizi yeye ni kma mtu aliye umwa na nyoka akiguswa na jani lazma ashtuke ivyo basi atachukua muda mrefu kuja kuoa tena

Post a Comment

Previous Post Next Post