mzazi mwenzie zari IVAN afariki

aliye kuwa mume wa zamani wa mpenzi wa diamondi aliye julikana kama IVAN DON amefariki dunia

kupitia instagram zarithebosslady amesibitisha kifo cha mzazi mwenzake huyo ambae walisha wai ishi pamoja na kuzaa watoto wa tatu

chanzo kinasema ivan alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya moyo ndyo yaliyo pelekea umauti wake

Post a Comment

Previous Post Next Post