njiwa akamatwa na mihadarati

njiwa akamatwa na mihadarati nchini kuwaiti

njiwa huyo alikamatwa na maafisa wa forodha katika mpaka na iraq akijaribu kuingia kuwait

maafisa wamesema waranguzi wa madawa ya.kulevya nchini humo hutumia njiwa kusafilisha madawa kwa mara nyingi

mpaka sasa wenye madawa hayo hawaja gundulika na polisi wanaendelea na upelelezi kutambua ni akina nani walio mtuma njiwa huyo

Post a Comment

Previous Post Next Post