niki minaji asema.hatofuta show zake kwaajili ya magaidi

baada ya wasanii wengi kufuta tours zao baada ya kutokea mlipuko wa bomu uingereza nick minaji asema hato futa show.zake
minaji alisema kma atafuta show

niki amesema endapo atafuta show zake utakuwa ushindi kwa magaidi

yeye hatofuta na ataendelea kma kawaida na ataomba polisi wamsaidie ulinzi

baadhi ya wasanii wamefuta show zao baada ya kutokea mlipuko katika show ya alian grande mjini manchester

Post a Comment

Previous Post Next Post