kamupuni ya nokia imeanza kuuza simu zake za.nokia 3310 baada ya kupotea kwa muda mrefu
simu hizi kwa sasa zina kamer a ya megapics 2.2 na kutumia intetnet ya 2G
pia ina uwezo wa kukaa na chaji kwa masaa 22 pia usipo itumia inakaa mpaka mwezi mmoja
simu hizo zimekuja baada ya kupotea kwa muda mrefu ambapo zilifanya vizuri katika mauzo miaka ya 2000
Tags
Technology