dubai wazindua polisi roboti

dubai wamefanya uzinduzi wa polisi mpya ambae ni roboti ambae anawezw fanya kazi kama.binadamu

robot huyo anakazi ya kukusanya taarifa na kuzipeleka polisi kwaajili ya kuzifanyia kazi

ribot atakuwa akichukua tarifa kwenye vivutio vya utarii na.majumbani mwa watu

kwasasa roboti huyo anaongea kiarabu na kiingereza ila wanafikilia kumwongezea lugha ili awe na uwezo wa kuongea lugha nyingi zaidi

Post a Comment

Previous Post Next Post