mugabe aenda tena singapore kwa matibabu

raisi wa zimbabwe Robert mugabe ameenda tena singapore kwaajili ya matibabu kutokana na kusumbuliwa na magonjwa kwa muda sasa ambapo miezi kadhaa iliyipita alikuwa akisumbuliwa pia


pia anatarajiwa kurudi mapema kwaajili ya kuudhuria katika mazishi ya aliye kuwa jaji mkuu nchini zimbabwe

pia japokuwa hali ya afya kutokuwa nzuri chama tawala nchini humo.bado kimempa nafasi ya kugombea tena kiti cha uraisi


Post a Comment

Previous Post Next Post