mke wa raisi mstaafu wa marekani michel obama atetea mpango wake wa lishe shuleni alio.uweka kipindi cha utawala wa obama marekani
mpango huo ulikuwa ni wa kuwapa lishe wanafunzi shuleni kusaidia kupata afya bora na kupunguza unene ulio.pitiliza
maneno ya kutetea mpango huo yamekuja baada ya serikali mpya kutaka kuusitisha bila ya sababu ya msingi japokuwa mpango huo una faida kubwa kwa watoto wengi marekani
Tags
Kimataifa