haueni imekuja kwa wenye vyeti fake baada ya kuambiwa wataripwa stahik zao kwa kuwa walilitumikia taifa
maneno hayo yalisemwa na mh ummy akijibu swali.na kusema.kuwa wataripwa stahiki zao hivyo basi wasubiri utaratibu utakapo kamilika
kabla walio tumbuliwa walikuwa njia panda wasijue mwisho wake reo angarau wamepata mwongozo na kutarajia kupata mafao yao
Tags
Kitaifa