kampuni moja nchini israel imeaidi kuja na betri ya simu inayojaa chaji ndani ya dakika tano tuu
kampuni hiyo imesema punde itaingiza sokoni betri hizo ambazo zitakuwa msaada mkubwa katika matumizi ya simu
lakini baadhi ya wataaramu wametilia mashaka ufanisi wa betri hizo kma zinaweza kuwa na ubora unai takiwa pia wametilia shaka muda wa kuichaji hiyo betri
Tags
BIASHARA