ccm yawataka viongozi pwani kujitathimini

ccm imesema kutokana na kukithiri kwa mauaji mkoani pwani viongozi wa ulinzi wanaitajika kujitasimini

hayo yalisemwa na mh humphrey polepole  alipokuwa akiongea na waandishi wa habari

alisema kwa muda mrefu mauaji yanaendelea na hakuna matokeo yoyote yaliyo onekana katika kudhibiti swala hilo ivyo basi viongozi wajitasimini

pia ccm imesema endapo mauaji yataendelea watawashitaki kwa serikali maana watakuwa wameshindwa kusimamia wajibu wao

Post a Comment

Previous Post Next Post