baada ya chelsea kuwa bingwa uingereza mashabiki na wachezaji kwa ujumla wamekuwa na furaha isiyo na kifani huku wengine wakiagiza na bia na.kuto taka kwenda kulala wakisema hawajiskii kabisa
chelsea inachukuwa ubingwa mara ya pili katika miaka mitatu
Tags
Michezo