wanamgambo wa boko haramu nchini nijeria wamepanga kuushambulia mji wa abuja siku zijazo
kupitia mkanda wa video mtu.mmoja ameonekana akisema kuwa wanampango wa kuishambulia abuja na viunga vyake
kwa mujibi wa idara ya ulinzi wa taifa wamesema wanaendelea na uchunguzi kumgundua mtu huyo ni nani
Tags
Kimataifa