baba mzazi wa pogba afariki dunia

baba mzani wa mchezaji wa manchester united paul pogba afariki janza usiku baada ya kuumwa kwa kipindi kilefu

mzee huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 72 alikuwa hospitali kwa muda mrefu kabla ya kupatwa na mauti


Post a Comment

Previous Post Next Post