marufuku kuuza vyakula barabarani zanzibar

wizara ya afya zanzibar yapiga marufuku uuzaji wa vyakula barabarani

hatua iyo imekuja baada ya kutokea kwa mvua kubwa ambayo imepelekea kulipuka kwa ugonjwa wa  kipindupindu ambao husababishwa na uchafu

hatua yakupiga marufuku imekuja ili kupambana na ugonjwa huo usienee kwa watu wengi zaidi visiwani humo


Post a Comment

Previous Post Next Post