manchester kuaajili wanne

timu ya manchester imejipanga kufanya usajili mwingine wa nguvu kwa luwasajili wachezaji wa nne

kocha josee mourinho amesema amesha kabidhi majina ya wachezaji anao wataka kuwasajili katika dilisha linalo kuja

miongoni mwa wachezaji wanao windwa na man united ni pamoja na romeu lukaku ambae alishawai kuichezea chelsea chini ya kocha huyo

pia amemtaja grizman katika usajili wake huku lengo kubwa ni kuimalisha safu ya ushambuliaji

manchester ambao ni mabingwa wa EUROPA wanatarajia kushiliki UEFA baada ya kuwa bingwa japokuwa wameshika nafasi ya sita katika ligi

Post a Comment

Previous Post Next Post