maafisa wengine watano washambuliwa kenya

maafisa watano wa polisi nchini kenya washambuliwa tena na bomu

maafisa hao walifariki baada ya gari lao kukanyaga bomu karibu na mpaka wa somalia wakati wakiwa katika doria ya kawaida

kwa mujibu wa ripoti bomu ilo la ardhini lilimlenga gavana na kwa.bahati mbaya maafisa wa polisi wakalikanyaga

matokio ya mabomu kenya ni.mara kwa mara ambpo wiki iliyo pita pia polisi wanne walifariki baada ya kukanyaga bomu maeneo hayo

Post a Comment

Previous Post Next Post