wafariki baada ya kufukiwa na kifusi

polisi mkoani geita imesibitisha kutokea vifo vya wachimba migodi wanne ambao walifukiwa na udongo wakiwa shimoni

akiwataja.marehem mkuu wa polisi alisea walio faliki ni

robert kazegemwa
jeremia emanuel
makenga mwita
julius thimoseo

pia wengine wawili wamejeruhiwa ambao ni samuel justine na maneno husika ambao wamelazwa hospitali ya katoro

Post a Comment

Previous Post Next Post