mke wa trump kuchunguzwa na FBI

kufuatia tuhuma za urusi kudukua uchaguzi marekani FBI wameanzisha uchunguzi na sasa wanamchunguza mke wa trump

FBI wamesema wanamchunguza ila hawana maana kuwa ni mshukiwa mkuu

mke wa trump alisha wai kutana na viongozi wa urusi kwa mazungumzo na huenda akawa na jambo la kueleza


Post a Comment

Previous Post Next Post