gigy many amponda wema

mdada anae sumbua bongo ambae ni video queen maarufu kma gigy many amponda wema sepetu

gigy alisema kipindi yeye yupo shule.alikuwa akivutiwa saana na wema na alitamani kuwa kama wema lakini saivi hataki kwakuwa amegundua wema anaishi maisha ya kuigiza

gigy alisema kila kitu kwa wema ni maigizo hana kitu halisia na mtu ambae hayupo kma umwonavyo na hatamani tena kuwa kma wema

gigy ambae haishiwi skendo ambapo majuzi video ilivuja akiwa na mwanasheria albert msando wakioneshana mahaba kwenye gari

Post a Comment

Previous Post Next Post