msanii wa hip hop asiye ishiwa vituko amesema syo dogo janja tuu hata yeye anajua kuvaa kinyamwezi kama avaavyo dogo janja
maneno hayo aliyasema alipoenda kutambulisha video yake mpya iitwayo NUNDU katika kipindi cha frudaynight cha EATV
harmorapa pia alisema ana mafanikio saivi kwakuwa anachukuwa watoto wakari na akatoa mfano jiulize wanawake wangapi uliwatamani hukuwapata ila yeye kawapata?
Tags
Entertaiment