everton kuja kucheza tanzania

timu ya everton ya uingereza kuja tanzani kucheza na.mshindi ambae atashinda kati.ya timu zinazo zaminiwa na sportpesa

everton imeingia mkataba wa uzamini kutoka kampuni ya kutoka kenya sportpesa

miongoni mwa timu zilizo pata mkataba kutoka sportpesa ni pamoja na simba,yanga pamoja na singida united

Post a Comment

Previous Post Next Post