mzee yusuph aomba ufute nyimbo yake kama unayo

aliye kuwa msaniu wa muziki wa taarabu.nchini mzee yusuph ameomba ufute nyimbo yake kama unayo

mzee yusuph amesema ameamua kumludia mungu ivyo basi watu kuendelea kusikiliza nyimbo zake ni sawa bdo anaimba anaomba UFUTE

mzee yusuphu alitangaza kuacha muziki na kumludia mungu na amesema ameamua kubadili maisha yake

Post a Comment

Previous Post Next Post