chelsea wamekuwa mabingwa wa ligi kuu uingereza kwa goli la.batshuay dakika ya 82 ya mchezo
mechi hiyo chelsea walikuwa ugenini nakufanikiwa kupata ushindi wa gori.moja na kutawazwa kuwa mabingwa wapya wa msimu wa 2016-2017
ambapo kocha antonio conteh amesema ni furaha na heshima kwake kuwa bingwa wa EPL akiwa na chelsea
Tags
Michezo