Picha: Ray baada ya kudai siri ya weupe wake ni kunywa maji, Godzilla aanza kampeni

Baada ya Ray Kigosi kuweka wazi kuwa anakunywa
sana maji ndio maana anakuwa mweupe, Godzilla
pamoja na mashabiki mbalimbali katika mitandao ya
kijamii wamenza kufanya zoezi hilo kwa
kuhamasisha watu ili na wao wapate upako huo.







Post a Comment

Previous Post Next Post