Msanii maarufu wa filamu Tanzania Elizabeth Michael Maarufu kama Lulu ameujia juu mtandao mmoja wa kijamii ambao ulijaribu kumzushia kifo.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Lulu ameandika yafuatayo kuhusiana na taarifa hizo..
“Nasikia Nimekufa 





Wewe uliyePost hii

Kama wewe utakuwepo TUTAONANA TENA 2017 Inshaallah
Alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri kwanza🙄
(Niki report LIVE kutoka heaven)
This shows how Jina Langu lina KiKi
nishasema MNIACHE JMN
watsup!???
Kufa ntakufa SIKATAI lkn mpk nimalize MIAKA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA
”






Wewe uliyePost hii


Kama wewe utakuwepo TUTAONANA TENA 2017 Inshaallah Alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri kwanza🙄
(Niki report LIVE kutoka heaven)

This shows how Jina Langu lina KiKi
nishasema MNIACHE JMN
watsup!???
Kufa ntakufa SIKATAI lkn mpk nimalize MIAKA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA
”
kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.
Tags
Entertaiment

