Bobby Shmurda ataka watu wajue kuwa sio tu anapambana kutoka jela,ila anapambana na wanasheria,majaji na polisi wanaomchukia.
Bobby ambaye amekaa jela toka December 2014 na watu wake wa GS9 kwa makosa ya silaha na mauwaji. Bobby amekosa dhamana mara saba.
“Napambana na majaji,polisi na mawakili wanaonichukia ndio maana nashindwa kutoka jela, nimeomba kesi yangu isikilizwe mapema baada ya kukaa jela kwa muda mrefu”.