ZEC Imetangaza matokeo ya Urais Zanzibar katika majimbo manne Mpaka sasa ...CCM imeshinda manne, CUF 1

Hadi sasa Tume ya uchaguzi Ya Zanzibar Imeshatangaza matokeo ya kura za Uraisi katika majimbo manne kati ya 54

Majimbo hayo ni Kwahani, Fuoni, Kiembesamaki, na malindi Dk. Shein wa ccm anaongoza katika majimbo matatu ya kwahani , fuoni na kiembesamaki, Huku maalim seif wa CUF akiongoza katika jimbo la Malindi

Post a Comment

Previous Post Next Post