Zanzibar : Vijana wawili wapigwa Risasi na vikosi vya Usalama

Kutoka hospital ya mnazi mmoja , Taarifa ni kuwa wamepokelewa vijana watatu wakiwa wamejeruhiwa wawili kati yao wakiwa wamepigwa risasi mmoja kati yao akiwa anafanyiwa oparetioni Baada ya risasi kupitia ubavuni kuelekea ubavu mwingine

Ripoti kutoka eneo la Jang'ombe zinzeleza kuwa vikosi vya usalama vilipita eneo hilo na kuwashambulia vijana waliokuwa wamejikusanya mitaani

Post a Comment

Previous Post Next Post