Vibanda vya mamalishe na mitumba vyachomwa moto mkoani njombe .....Polisi yawataka wananchi wawe watulivu wakati wa kusubiri matokeo

Moto amabao chanzo chake hakikujulikana hadi sasa umeteketeza mabanda ya mamalishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani njombe

Hata hivyo kikosi cha zima moto mkoani hapo kimefanikiwa kuuzima moto huo usiku wa jana kuamkia leo ambapo polisi nao wamesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea

Kwa mujibu wa kikosi hicho mabanda mengine yamesalimika 
Hata hivyo kikosi hicho kimewataka wananchi hao kuwa watulivu wakati huu wakisubiri matokeo ya uchaguzi ambayo yanatarajiwa kutangazwa wakati wowote mkoani humo


Post a Comment

Previous Post Next Post