Tume ya taifa ya uchaguzi yaanza kutangaza matokeo ya uraisi majimbo matatu yatangazwa na yote yachukuliwa na ccm

Tume ya uchaguzi ya taifa imeanza zoezi zima la kutangaza matokeo ya urais mpaka sasa majimbo matatu yametangazwa

katika majimbo hayo matattu yaliyotangazwa mgombea wa ccm amemshinda mgombea wa upinzani Mh Lowassa kwa Kiwango kikubwa cha kura 

kwa habari zaidi endelea kubaki nasi zitakujia hivi punde

Post a Comment

Previous Post Next Post