Picha 7 za ukumbi utakao tumiwa na tume ya uchaguzi kutangaza matokeo ya kura za uraisi kuanzia saa nne asubuhi hii

Kwa mujibu wa mkurugenzi wa kailima ramadhaan amesema matokeo ya uraisi  awamu ya kwanza yataanza kutangazwa leo jumatatu saa nne asubuhi, saa saba mchana na saa kumi jioni 






Post a Comment

Previous Post Next Post