Miley Cyrus na bandi ya The Flaming Lips wanampango wa kufanya show wakiwa watupu kabisa bila nguo na mashabiki wataombwa wavue nguo na wapakwe kitu flani ambacho kina rangi ya maziwa.
Mpaka sasa tarehe ya show hii haijapangwa ila itafanyika mwaka 2015.
Tags
Entertaiment
