Rihanna asema akibahatika kuja Afrika Magharibi atafanya show bure,sababu iko hapa
byUnknown-
0
Mwaka 2013 Rihanna alifanya show Cape Town, South Africa na mwaka huo alifanya show kwenye Mawazine Festival nchini Morocco. Rihanna hajawahi kufanya show West Africa au East Africa.