Lipumba aikeukia ZEC kufuta uchaguzi zaznibar

Mwenyekiti mstaafu wa chama cha wananchi CUF, amesema amesema mwenyekiti wa uchaguzi zanzibar (ZEC) jecha salumu jecha  amekiuka sheria kwa kusitisha utangazaji wa matokeo kwani kunaweza kuleta mgogoro wa kisiasa

Akizungumza na kituo cha Azam Tv, Prof Lipumba mwenyekiti wa ZEC alipaswa kuwaita wajumbe na majaji wa Tume na kujadili na kuwatangaza walioshinda na  lisichukuliwe kisiasa 

"Huwezi kufuta matokeo ya uchaguzi zanzibar halafu useme uchaguzi wa tanzania ni halali" alisema Lipumba

Amesema katika katiba ya zanzibar ibara ya 28 (2) raisi ataacha madaraka yake baada ya miaka mitano na kuongeza kuwa mwenyekiti wa ZEC Kuahirishwa kwa matokeo ya uraisi kumesababishwa na kuwa na wapiga kura wengi zaidi katika vituo kuliko kuliko wale walioandikishwa 

'Suala hilo walipaswa waulizwe wasimamizi na mawakala na kulalamika siku ile ya uchaguzi" alisema Lipumba

Post a Comment

Previous Post Next Post