Mama mzazi wa Diamond asibitisha kuwa ameolewa na amefunga ndoa alipo fanyiwa mahojiano na dizmonline
pia alipo ulizwa kuhusu umri wa huyo mume wake kuwa ni mdogo kwake mama alijibu kuwa siyo tatizo na anaamini kaolewa na mtu mzima huku akisema anatarajia kupata mtoto wa mwisho
KUTAZAMA VIDEO >>>BONYEZA HAPQ
Post a Comment
0Comments
3/related/default