WATU 17 WANUSULIKA KUFA BAADA YA BOTI KUZAMA ZIWA VICTORIA

Admin
By -
0
Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria.Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini kama kuna waliosahaulika majini.

Hizi ni taarifa za awali fuatilia Habari zetu kufahamu zaidi.
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)