MANJI AHUSISHWA MPANGO WA KUNUNUA NAKUMATT SUPERMARKET

nijuzenews
By -
0




Jina la Mfanyabiashara maraafu nchini, Yusufu Manji limetajwa katkia mpango wa kununua Kampuni Nakumati, vyanzo vya habari vimeeleza.
k

 Image result for photo of nakumatt supermarket

Mpango huo  mpya umekuja baada ya  kampuni hiyo kufunga duka lake jana jijini Arusha.
Tawi la Arusha ni la pili kufungwa hapa Tanzania katika kipindi cha wiki mbili zilizopita
.
Awali kampuni ilifungiwa kuendesha shughuli zakek na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwenye Tawali lake lililopo Mlimani City, Jjiji Dar es Salaam kwa kushindwa kulipa kodi ya pango.

 Jana Jijini Dar es Salaam,mamia ya wasamabazaji wanaomiliki mabilioni ya shilingi wamedokeza kuwa Manji yuko kwenye mazungumzo na Viigogo wa kampuni hiyo ili kufanya biashara nchini.

 Msemaji wa Wasamabazaji howa Bw. Joseph Mlay, ameseme kwenye mkutano na waandishi wa habari kuwa anaamii kuwa mazungumzo yataenda vizuri,
" Tuna matumaini kuwa mazungumzo ya Manji na wamiliki wa Nakumatt yataende vizuri, hivyo kuendeleza shughuli ake hapa tanzania na tuka hapa kuunga mkono mazungumzo hayo" Amesema Bw.Mlay.
Lakini Maafisa wa Kampuni hiyo wamekataa kuzngumza na waandishi wa habari, kuhusu mpango huo,
Naye Afisa wa Chama cha Wakulima, (TFA) Bi. Angel Makere jiji na Arusha ambao ndio wamliki wa jengo waliokodisha, Nakumatt,  amethibisha kuifungia kampuni hiyo huku akishaa kushindwa kulipa $140,ml. (Takribani tsh. 300ml)
Kufingiwa kwa kampuni hiyo ni mwendelezo baadaya maduka mengine kufungwa nchini Kenya, Uganda na Sasa Tanzania.

Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)