GAZETI LA TANZANIA DAIMA LAOMBA RADHI

Admin
By -
0 minute read
0
Gazeti la Tanzania Daima limeandikia barua ya kuomba radhi kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas baada ya gazeti hilo kutoa taarifa yenye kichwa cha habari ‘Asilimia 67 ya Watanzania wanatumia Dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi’
.
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)
Today | 13, March 2025