DALILI KUU ZA VIDONDA VYA TUMBO

Admin
By -
0
Hapo kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo, kisha tukasoma kuhusu dawa mbadala ya vidonda vya tumbo, tukasoma tena kuhusu chakula cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo, na leo tunaendelea kuangalia dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo.

Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na;

Kuchoka choka sana bila sababu maalumKuuma mgongo au kiunoKupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsiaKizunguzunguKukosa usingiziUsingizi wa mara kwa maraMaumivu makali sehemu ya mwiliKifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makaliKichefuchefuKiunguliaTumbo kujaa gesiTumbo kuwaka motoMaumivu makali sehemu kilipo kidondaKukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuziKutapika nyongoKutapika damu au kuharishaSehemu za mwili kupata ganziKukosa hamu ya kulaKula kupita kiasiKusahahu sahau naHasira bila sababu.
Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)