Kijana mmoja nchini Canada ambae ana asili ya kisomali ajitengenezea simu yake binafsi
kijana huyo wa miaka 17 anaishi na mama yake nchini kanada amefanikiwa kujiundia simu ya smartphone ambayo ni nzuri
anasema alipata wazo la kuunda simu baada ya mama yake kumwambia kuwa hana pesa ya kununulia simu mpya
anasema ilimchukuwa muda mchache kuiunda simu hiyo ambayo haina utofauti na simu zingine ambazo zimesha undwa na watu kabla
amesema pia anatarajia kuziuza simu zake kwa bei raisi ya $180 tu na amekwisha pokea maombi ya kuuza simu zake sehemu tofauti ikiwemo afrika
kijana huyo amesema kitendo cha mama yake kutokuwa na pesa kununua simu mpya kwaajili yake kumempa mafanikio kimaisha