Taarifa kutoka nchinj naijeria zinasema wanajeshi wamechoma moto kituo cha polisi
kwa mujibu wa mashuhuda kulitikea majibizano kati ya polisi na wanajeshi kwa madakika kadhaaba baadae wanajeshi wakaondoka
baada ya muda mchache wanajeshi wakarudi tena wakiwa na siraha wakakishambulia kituo na badae kukichoma moto ambapo katika tukio hilo polisi kadhaa waliuawa
Post a Comment
0Comments
3/related/default